1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Zoezi la usalimishaji silaha haramu

Deo Kaji Makomba15 Novemba 2023

Zoezi la usalimishaji silaha kwa hiari zinazoelezwa kuwa haramu, limefikia tamati baada ya kutolewa kwa muda wa tariban miezi miwili. Jeshi la polisi lilitangaza hilo kama sehemu ya utekelezaji wa mikataba ya Umoja wa Mataifa, ambayo nchi ya Tanzania ilitia saini na kuridhia makubaliano ya kuzuwia uzaagai wa silaha.

https://p.dw.com/p/4Yp54