1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikosi cha Afrika Mashariki chaanza kuondoka Kongo

Sudi Mnette
5 Desemba 2023

Katika mahojiano ya Kinagaubaga Rashid Chilumba anazungumza mbunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean Baptiste Kasekwa kuhusu hatua hiyo iliyotokana na malalamiko ya kushindwa kutimiza wajibu wao.

https://p.dw.com/p/4ZnYf